Jumapili, 15 Septemba 2013

CHELSEA HOI KWA EVERTON YAPIGWA 1-0

Chelsea walipoteza mchezo wao wa kwanza chini ya kocha Jose Mourinho baada ya kufungwa na Everton 1-0 . Bao pekee la mchezo huo lilifungwa na kiungo Steven Naismith

Hakuna maoni: