Jumamosi, 16 Machi 2019

Jumanne, 13 Desemba 2016

HUYU MTOTO NI NOOOMA


HAMISI MGOSI NA KIJANA WAKE IDDI


RONALDO AKABIDHIWA TUZO YAKE YA 4 YA BALLON D' OR


RIYAZ MAHREZ MCHEZAJI BORA AFRICA 2016


AMBER LULU


OMAR BORKAN ALGALA


AMBER ROSE


SHILOLE KIUNO


WEMA SEPETU


Ijumaa, 25 Novemba 2016

Ben pol Asema Hahitaji Kiki Ili Muziki Wake Upenye


Ni kwenye Clouds E ya Clouds TV na Shadee Weriss ambapo Ben Pol alikuwa na interview kuzungumzia muziki mpya ambao ameshirikishwa na Darassa unaoitwa Muziki.

Ben Pol amefunguka kuwa kwa kipindi hiki ambacho ni ngoma kibao zimetoka kwa mkupuo itachukua takriban wiki 3 ili ngoma hizo kujichuja na muziki mzuri kuendelea kuishi muda mrefu zaidi ya hapo  na zingine ambazo zimetoka kwa kiki kuishia hewani.

Rais wa zamani wa Cuba, Fidel Castro Afariki Dunia


Rais wa zamani wa Cuba na kiongozi wa mapinduzi ya kikomunisti, Fidel Castro amefariki akiwa na umri wa miaka 90, mdogo wake Raul ametangaza.

Amefariki usiku wa saa nne na dakika 22, kwa mujibu wa Rais Raul Castro.

Fidel Castro aliiongoza Cuba kama nchi ya chama kimoja kwa takriban miaka 50 kabla ya Raul kushika madaraka mwaka 2008.

Mazishi yake yanafanyika Jumamosi hii kwa mwili wake kuchomwa moto. Kutakuwepo na siku kadhaa za maombolezo ya nchi nzima.