Jumatatu, 23 Septemba 2013

ARSENAL 3 v STOKE CITY 1

 Ramsey akishangilia goli baada ya kuipatia timu yake dakika ya 5 mpira tu ulipoanza.

Per Mertesacker akipongezwa baada ya kufunga bao la kichwa dakika ya 36.


Bacary Sagna akifurahia baada ya kuzamisha bao la tatu na la mwisho hapa, bao alilofunga kwa kichwa.


Hakuna maoni: